Dagaa safi na bora toka Bukoba.

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari ya majukumu wanaJF haya sasa wale dagaa safi toka bukoba wasio na mchanga watawasili wiki hii kabla ya ijumaa, napokea oda zenu kupitia namba zifuatazo 769308154,0713847985 tunapatikana eneo la taliani njia ya kwenda Chanika Jijini Dar es salaam,Bei ya kilo Ni 8000/=
 
Hao Dagaa mkubwa, kwani we hujui Dagaa ninini??
Nimeshawakumbuka sasa,si wale watoto wa samaki?nilishawala zamani ni watamu sana...ningekua jilani ningeagiza niwale tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…