Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Majangili yaliangusha Helikopta wiki kadhaa zilizopita ikawa habari Dunia nzima, wiki moja baadaye wahusika woteb wamekamtwa na hukumu tayari wanakula miaka 70, huwo ukurasa umefungwa na hilo jambo halijadiliwi tena si magazetini, vijiweni wala mitandaoni, hali kama sijawahi kuishuhudia hapa TanZania tangu nianze kujua nini kinaendelea Dunini kwa kawaida hii kesi ingekwenda hata miaka 5 bila ya kufikia tamati, lkn wakhtzi ni tofauti kabisa hiyo ndiyo inaitwa efficiency, man, tatizo linatokea linashughulikiwa chap chap tunahamia kwenye lingine!!