Dadaake Messi

Huyu atakuwa ni wa kulia na kushoto na hapo tena kutafakuru kimya kimya
 
nakuona ant-messi upo kazini
 
Huwezi kuwa mwanamichezo wa kweli kwa style hizi.
 
THATS AN INSULT TO THE LEGEND...
FYI:THIS IS MARIA SOL MESSI,HER SISTER
 
Haya soma hicho ni kiswahili kama ikiwa kwa herufi kubwa ni ei na herufi ndogo ni a utakuwa na matatizo binafsi na mchezaji bora wa muda wote


Don't take it serious to that level, Messi ni mchezaji tajiri na mwenye kipaji hilo halina ubishi, nilichofanya ni utani tu, kitu ambacho cha kawaida sana kwenye soka usikose usingizi. Mfano chukulia kwenye hii katuni hapa.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…