Dada zetu kwenye daladala

Naona alikuwa akitangaza "supu".... Biashara matangazo bana!!
 
Yaani hujamuona hata Konda umemuona dada wa watu tu? haya asante kwa upaparazi Mpwa, mie nimepanda Lorry la mizigo toka Marangu narudi Dar tuko midume tupu!
 
Yaani hujamuona hata Konda umemuona dada wa watu tu? haya asante kwa upaparazi Mpwa, mie nimepanda Lorry la mizigo toka Marangu narudi Dar tuko midume tupu!
Konda nishampa chake mapema nimuone wanini tena?
 
biashara matangazo .... sasa hapo kweli ndo unaenda kwa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…