Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Yaani dada mtu mzima hivyo unajilegeza na unaweka mzigo wako mbele ya Wavulana zaidi ya 8 kweliii!!!!
Dada zangu mnaopenda kwenda kwenye vigodoro na singeli hebu tuachage hizo tabia na kwenye Singeli tuache sasa maana mambo yanayotokea huko kuna wenzenu dairly wanabakwa na wengine kudhalilishwa na wanaume lakini kama unaona sawa basi endeleeni kwenda tu, maana kla mtu ana maamuzi yake..
Nawasilisha..!