Unamfahamu mwanamke kwa siku chache tu, labda siku moja tu anataka apewe laki 3. Ameishiwa pesa ya hostel hapo CBE. Hii sio sawa dada zagu.
Afadhalii hata upate one week. Mimi najua inakubidi kuvumilia mapenzi hakuna haraka haraka. Nimejifuza mengi sana na huwa nauliza kama sikuwa na wewe ungefanaje?
Mimi nimeacha kabisa ku-date wanafunzi wa chuo, mara mbili yote wanafikiri mimi natoa tu pesa. Si hivyo tuchukue muda pamoja. We see like if our love is real and be together for good and bad.
Ukiwa na mwanachuo tu nawe ni mtu mzima;jiandae kumgaramia fedha za chakula,mavazi,kusuka na wakati mwingine ada...,,ukitekeleza hayo yote,utapewa mapenzi yote na utajiona mwenye bahati.
Nasukulu kuna mtu ananisaidia kulekebisa humo dani.wala si makosa makuuuuuubwa.kidogo dogo tu basi.ila amna shida taelewana tu ndugu yagu.mi napeda wote tuwe malafiki wema.