Katika watu ambao nawaamini kuelewa mambo kwa haraka zaidi, wewe ni miongoni mwao my princess, ila kama umeshindwa kuelewa hata wewe, bas hii ngoma ni nzito tumuachie mtoa mada. Sisi tukaendelee na uzi wetu ule wa fundi maiko naona washauterekeza tayari.