Dada yangu simuelewi

Kama anakupenda mwambie akuoe tofauti na hapo atakuzalisha na kukuacha unateseka na mwanao. Nilivyoona hapo yeye akutamani tu yaani anakutumia kwenye ngono tu na hakuna cha ziada hapo.
Shituka dada yangu. Hapo hakuna mapenzi
 
Hebu ngoja nitulize medula oblongata yangu nipate kumuelewa huyu fanani...
 
Acha kuchagua chagua, hakuna sehemu kwenye biblia inasema kuwa mwanamke atampenda mwanaume,
Wewe ringa sasa hivi akiota mbawa utakuja kulialia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…