Dada wewe ni nomaa

Dada wewe ni nomaa

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
jamani wanawake siku hizi wamekuja juu kama moto wa kifuu. Bidada mmoja kaenda mkoa kufuatilia swala la kazi na huo mkoa hana mwenyeji shoga alitagemea mtu wa kampuni atakuja stendi kumchkua wapi hakuja, basi bahati nzuri akatokea mdada akaamua kumsaidia akalale kwake kesho yajulikane

Bidada yule pale sasa akawa ndo kafika hamna cha kazi wala nini na kibaya zaidi akaanza kutingisha na vikalio vyake kwa mume wa mwenzie mpaka kamchkua. Wadada hivi tutasaidiana kweli kwa mtindo huu? Na we bidada ulieleta shost ndani ukijua pako salama ujue unaibiwa mchana kweupee.

Wadada haya zimeenda wapi?
 
Mjini hapa. Ndio ntolee hyo. Si kajikuta mama huruma.
 
amuache amsaidie majukumu wakat wa papuch c itakua zam kwa zam kwan apo anaogopa nn?
 
Punguza Munkari twende jukwaa la kazi tukasake kazi,
 
Back
Top Bottom