Dada wa stationery anahitajika-Mawasiliano Sim 2000

Dada wa stationery anahitajika-Mawasiliano Sim 2000

Nyakarilo

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
21
Reaction score
16
Dada kwaajili ya kufanya kazi stationery anahitajika . Awe amekizi yafuatayo,
1.Awe ameshawahi kufanya kazi ya secretariaa
2.Awe kasi ya kuchapa
3.Awe na uwezo wa kutumia kwa ufasaha photocopy machine, binding na laminating machine sambamba na huduma ya picha.
4. Awe mhaminifu pamoja na mchapa kazi.
5.Uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu
6. Awe anakaa karibu na mawasiliano Sim 2000.
Angalizo..Mshahara ni maelewano.Piga namba 0757546932..Biashara ni mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom