Dada wa kazi ya saluni ya kike

Dada wa kazi ya saluni ya kike

millcent5

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa..

Salon iko Tabata mwananchi

Vigezo÷
Awe na umri kuanzia 18
Awe ameshafanya kazi za salon karibuni
Awe karibu na maeneo na tabata


Mawasiliano.

0719 346497
 
Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa..

Salon iko tabata mwananchi

Vigezo÷
Awe na umri kuanzia 18
Awe ameshafanya kazi za salon karibuni
Awe karibu na maeneo na tabata


Mawasiliano.

0719 346497
Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye
 
Kama hujapata ni PM, nikuunganishe na mtu.
 
Taja DAU nikuunganishe na fundi hutojutia kuwa naye

Dau litatokana na yeye utendaji kazi wake, kazi za salon tunalipa kutokana na utendaji kazi wa mtu, kwahiyo atafanya kazi kwa miezi 2 kwa uangalizi, ndipo atapata mkataba wa miezi 6 baada ya hapo tunaendelea.
 
Back
Top Bottom