Dada wa kazi anahitajika Dar es Salaam

Dada wa kazi anahitajika Dar es Salaam

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,807
Reaction score
11,485
Habari zenu waungwana,

Dada wa kazi anahitajika awe anapatikana Dar es Salaam kwa sasa. Awe mjuzi hasa wa mapishi. Ni anakaa na mtu mmoja pekee mzee wa makamo. Awe msafi na mstaarabu. Mhitaji ni muungwana sana. Atampa huduma zote kama binti yake. Kama yupo tafadhali nitafute kwenye uwanja wangu wa message. Shukrani!
 
yupo binti ana miaka 25 n mpishi mzuri sana na anauzoefu wa kufanya kazi izo namb zake n0678174239
 
Habari zenu waungwana,

Dada wa kazi anahitajika awe anapatikana Dar es Salaam kwa sasa. Awe mjuzi hasa wa mapishi. Ni anakaa na mtu mmoja pekee mzee wa makamo. Awe msafi na mstaarabu. Mhitaji ni muungwana sana. Atampa huduma zote kama binti yake. Kama yupo tafadhali nitafute kwenye uwanja wangu wa message. Shukrani!
 
Habari zenu waungwana,

Dada wa kazi anahitajika awe anapatikana Dar es Salaam kwa sasa. Awe mjuzi hasa wa mapishi. Ni anakaa na mtu mmoja pekee mzee wa makamo. Awe msafi na mstaarabu. Mhitaji ni muungwana sana. Atampa huduma zote kama binti yake. Kama yupo tafadhali nitafute kwenye uwanja wangu wa message. Shukrani!
 
Write your reply...naomb nitafute 0678174239 kuna binti n mpsh mzur sana n mchapakaz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom