Jamani samahanini kuingia jukwaa la akina dada, lakini kwa kweli hiki kitabu kinanipa mashaka ya kuharibu watu. Mchezo gani huo mnaouita self-love? Mnategemea sisi wanaume tukaenjoy wapi wakati ni wazi kuwa tuna haki ya kupata faraja toka kwenu? Mtaifundishaje jamii juu ya upendo wakati mnata kujichezea wenyewe? Na familia nazo, mtazianzisha vipi? Kwa nini mnataka kuharibu saikolojia zenu na kupingana na kazi za Mungu?
Nashauri acheni haraka, mtupe kilicho haki zetu! :A S-frusty2: