Dada kunawagharimu mno kuliko wanaume

Kuna kitu nimejifunza hivi karibuni, kama mwanaume hatosisitiza matumizi ya kinga basi wataenda kavu, na mwanaume ukitaka kutumia unapewa sababu moja kati ya hizi,(1)condom zinanichubua, (2)condom zinaniwasha, (3)sipendi condom sisikii radha nikitumia. Jamani ukimwi upo na hauna tiba. Heri ubaki njia kuu ukishindwa tumia condom muda wote.

sent from kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…