mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,488
- 2,979
Wageni wapo kwa mkapa jioni hii, kimya kimya wakipasha, kwahiyo dabi ipo kama kawa
Huwezi kushindana na mamlaka, dabi ipo kama kawaida- yanga au simba mmojawapo bingwaWrite your reply...yanga bingwa
Ipo tu, kama haipo wasingeenda kupasha kama kanuni isemavyo
na tutaona mengi mwaka huu
Hakuna mengi sana mkuu, ni dabi tu ipo palepalena tutaona mengi mwaka huu
Wapo buzy ndio ulitaka kumaaanisha busy ama?Watanganyika wapo buzy kubishana Simba na Yanga.
YangaHuwezi kushindana na mamlaka, dabi ipo kama kawaida- yanga au simba mmojawapo bingwa
Na kwenye hizi thread hukosekani ndio maajabu yenyewe.Watanganyika wapo buzy kubishana Simba na Yanga.
Bado watanganyika wengi wapo kwenye evolutionWatanganyika wapo buzy kubishana Simba na Yanga.