Jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu, akafanikiwa kukimbia uchi hadi Stendi... Akapanda Daladala
Konda akawa anamuangalia yule jamaa mara mbili mbili.
Jamaa akamuuliza Konda: Unashangaa nini?
Konda akamjibu: Sishangai uchi wako, najiuliza ulipoweka nauli yangu ni wapi?