KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
Deleva mpenda ngono alimpa lifti SISTA wa kanisa..Kila akibadili gia Mkono wake unagusa paja la SISTA ...Yule sista akamwambia soma mathayo 7:7 ...Dereva kusikia hivyo akamuacha kumgusa huku akijiuliza mathayo 7:7 inasemaje ??? Alipomfikisha kanisani ,,, Jamaa karudi nyumbani akachukua biblia na kupekua mathayo 7:7 na kukutana na ujumbe usemeo ''OMBENI NANYI MTAPEWA''
Jamaa da nimekosa *******!!!
Ngoja wenye Dini yao waje wakujibu.
wewe jamaa....
Deleva mpenda ngono alimpa lifti SISTA wa kanisa..Kila akibadili gia Mkono wake unagusa paja la SISTA ...Yule sista akamwambia soma mathayo 7:7 ...Dereva kusikia hivyo akamuacha kumgusa huku akijiuliza mathayo 7:7 inasemaje ??? Alipomfikisha kanisani ,,, Jamaa karudi nyumbani akachukua biblia na kupekua mathayo 7:7 na kukutana na ujumbe usemeo ''OMBENI NANYI MTAPEWA''
Jamaa da nimekosa *******!!!
NIsije kuhama mji
Enjoy++
sio kutumia mistar ya bible ktk jokes zako unakwaza iman za watu wengine