Mr Gudraph
Member
- Oct 2, 2018
- 22
- 6
Msaaada wenu wakuu [cloud router/wireless cloud router]
Kifaaa hichi kinafanyaje kazi na kinauzwa bei gani????
Kifaaa hichi kinafanyaje kazi na kinauzwa bei gani????
Huwa zinauzwa bei gani??kwa kawaida router za kawaida (cloudless ) ni kwamba unatumia local ip: 192.168.x.x unaingiza kwenye browser ya PC mojawapo ambayo imeungwa na iyo router kisha uta fanya set up zote ( apa namaanisha utaseti WPA logins, uta monitor firewalls, uta set DHCP pia na nakucheki site(traffic) ambazo 'users' wanaziperuzi, hapa utaitaji uwe karibu na router ( LAN )
kwa Cloud router ( utapata logins then utaingia mydlink: Watch what matters kwa D-Link routers ) then set up zote utafanya kupitia iyo site yao, POPOTE ULIPO huitaji uwe karib na router yako.
Huwa zinauzwa bei gani??
Hii kitu ninayo ila sijui matumisi ya ADSL ETHERNET pamoja CD na power yake ila haina cable za hayo matundu mengineView attachment 952203
last time nilichukua kwa 15,000/- used ya 4 ports, checki alama ya kijani kwenye ramani