CWT na serikali wote wagomewe na walimu

Uanachama wa CWT kwa walimu wa Shule za serikali ni lazima that's why tunakatwa michango directly hata bila kujiunga, unakumbuka wale walimu wa Kigoma ambao wamejaribu kujitoa hadi mahakamani wamebaunsi.... CWT ni mradi wa serikali kuwakandamiza walimu.. Vp auditing CWT MBONA haifanyiki?
 
Mkoba mnafiki,tuachane na CWT.Tujipange upya tupate haki zetu.
 
Mkoba mnafiki,tuachane na CWT.Tujipange upya tupate haki zetu.
tutumie njia gani mkuu hawa CWT ni wanyonyaji hivi ni haki kila ofisi ya wilaya Kuwa na ESCUDO tena ambazo zimenunuliwa kwa bei ya kuruka, ni haki kwa makatibu na wenyeviti kulipana posho kwa kutimiza wajibu wao? Na je kuna uhalisia wa gharama halisi za mwalimu houses mikoani na tunavyoziona? Hivi zile billion 3 za kuanzisha mwalimu bank zimeenda wapi?
 
Mungu ashukuliwe kwa vile walimu tumeanza kijitambua baada ya kuonewa, kupuuzwa na kunyanyaswa kwa muda mrefu.
 
Ni muda kidogo tu bado cwt itakuwa kama urusi, hao viongozi wao watajikuta hawana jimbo la kuongoza, kigoma wameanza wengine tunafuata watabaki kama gobachevu wa urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…