mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
Gervais Abayeho alisema jana kwamba majenerali watatu
Posho kwa walimu ni ndoto isiyowezakutokea,kwanza wako wengi,pli ni watu wasiojitambua,tatu wengi ni waliofell sec,nne hawana umoja,tano wana uwezo mudogo ktk kufanya maamuzi magumu,sita walimu wazee ni wabinafsi sana,saba wengi wako vijiji ni waoga.UKITAFUTA MTU WA KUMUONEA NCHI HII BASI NI MWALIMU
walimu wakitaka wajikomboe someni sana, na kusoma si kwenda darasani ie vyuo no ingueni library
wangefeli hao walimu ungejua hata kusoma wewe?