K kabombe JF-Expert Member Feb 11, 2011 26,153 18,742 Feb 23, 2017 #2 Si waache tu kazi,kuna walimu kibao wapo rizevu,huwezi kudai haki kwa kugoma
K Kilityme JF-Expert Member Aug 13, 2015 218 574 Feb 23, 2017 #3 Si nilisikia Gambo aliwalipa kupitia makato ya posho za madiwani? Au ilikuwa kiki ya kusaka uaraasii