pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Wandugu.
Ni tetesi kuwa Dr JK alitumia madaraka alopewa ya kuchagua wajumbe wa 210 kwa kuchagua makada wa CCM kwa asilimia zaid ya 90 kwa lengo la kufanikisha ajenda ya CCM
Wajumbe hao,ambao kwa hali ya kawaida na kisheria ilibid wawakilishe makundi husika ya jamii ,inasemakana kuwa ile ilikuwa geresha tu .
Sasa Najua there is nothing we can do about it ,mchakato umeshafika mbali sana lakin kwa kuitendea heshima historia ili mwisho wa siku tuwe na record iliyokamilika ya watu walioitendea mema au maovu nchi hii .
Naomba yeyote mwenye kujua CV ya mjumbe yeyote wa 120 hasa hasa in relation to political affiliation .
Kwa kuanza mimi ninajua hawa.
1.Jesca Msambatavangu: aliingia BMK kwa ticket ya kundi la malengo yanayofanana, lakini yeye ni Mwenyekiti CCM Mkoa Iringa
2.Kingunge Mwiru: Ticket ya taasisi zisizo za serikali , lakin ni kada maarufu wa CCM
3. Paul Makonda: Malengo yanayofanana, Ni kiongozi wa UVCCM
.....