Huu ni mfano wa taarifa zisizoeleweka katika website ya Bunge ambapo mbunge huyu (Mheshimiwa) anaonyesha alijiunga na masomo ya shahada ya uzamili MBA mwaka 1988 mara tu alipomaliza High School 1987. Je jambo linalowezekana katika mfumo wetu wa elimu Tanzania au? Aidha ieleweke kwamba sina nia ya ku-question elimu ya Mheshimiwa huyu isipokuwa nia yangu ni kuelewa juu ya uwezekano huo na wahusika wa website ya Bunge wapitie website yao na kuondoa sintofahamu zilizopo kwenye website yao ambazo zinaonyesha makosa mengi ya taarifa za waheshimiwa. |
GENERAL | ||
---|---|---|
Salutation | Honourable | |
First Name: | Sinkamba | |
Middle Name: | Josephat | |
Last Name: | Kandege | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Kalambo | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | Box 134, Sumbawanga | |
Office Phone: | +255 784 271944/+255 754 271944 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | jkandege@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth | 6 June 1964 |
EDUCATION | ||||
---|---|---|---|---|
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Arusha Institute of Accountancy | CPA | 2000 | 2003 | DIPLOMA |
Dar Es Salaam School of Accountancy | MBA | 1988 | 1990 | MASTERS DEGREE |
Usagara Secondary School | A-Level Education | 1985 | 1987 | HIGH SCHOOL |
Ifunda Secondary School | O-Level Education | 1981 | 1984 | SECONDARY |
Mwimbi Primary School | Primary Education | 1974 | 1980 | PRIMARY |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
---|---|---|---|
Company Name | Position | From | To |
The Parliament of Tanzania | Member - Kalambo Constituency | 2010 | 2015 |
Agriculture and Food Security | Zonal Accountant | 1996 | 2010 |
Biashara Consumer Services (BCS) | Accountant | 1995 | 1995 |
Ministry of Science and Technology | Accountant | 1994 | 1995 |
Ministry of Labour | Accountant | 1993 | 1994 |
Ministry of Labour (VETA) | Accountant | 1991 | 1993 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
---|---|---|---|
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - National Executive Committee | 2008 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - District General Council | - | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - Regional Parent Association |
Weka cv yako
Kama angekuwa amesomea UFUNDI MCHUNDO (FTC-Full Techinician Certificate) zamani na kwenda kusoma URUSI tungeweza kumuelewa maana nchi kama URUSI huwa zinaangalia na course contents ya ulichokisoma huko ulikotoka lakini katika proffessional course na lakini sio FORM SIX .Mfano angalia Elimu ya Principal wa Arusha Techincal College Eng. Dr. R. J. Masika
PhD (Structural Eng) (Hungary), MSc. Eng (Hungary), FTC (Civil Eng.) (DT
C), C.Eng (T).
Dr. R. J. Masika is a Consulting and Licensed Engineer and the Principal of Arusha Technical College.
Huyu Mheshimiwa ni kichwa kizuri tu.
Weka cv yako