CV ya mgombea ubunge UKonga Chadema Asia Msangi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,712
Reaction score
21,889
Heshima mbele wakuu,
Nilifanikiwa kuona kampeni za Chadema Ukonga,kwa kweli mgombea wao yuko vizuri jukwaani kama kuna mtu ana CV yake iwekwe hapa ili tufanye maamuzi sahihi siku ya uchaguzi,
 
Heshima mbele wakuu,
Nilifanikiwa kuona kampeni za Chadema Ukonga,kwa kweli mgombea wao yuko vizuri jukwaani kama kuna mtu ana CV yake iwekwe hapa ili tufanye maamuzi sahihi siku ya uchaguzi,
View attachment 860086
Mmekwisha shikwa sasa mnatafuta pa kutokea , kwenu Magomeni Kagera unawezaje kupiga kura Ukonga ?
 
A
hata chadema wenyewe hawana cv yake
Chadema unaweza kuingia usiku,mchana ukapewa nafasi ya kugombea ubunge
Akili za chekechea hizi. Na mpo wengi sana humu. uvulana mwingi.
 
NI KA BINTI ALMOST THE SAME AGE NA MIMI , NINGEKA SUPPORT KAMA KANGEGOMBEA KUPITIA KWA MJOMBA MAGUFULI ASEEEEEEEEEEEEEE povuuu ruksa
 
Ni mhitimu wa chuo kikuu na mwanasiasa mzuri na ni mama as well. Nadhani umetosha
 
hata chadema wenyewe hawana cv yake
Chadema unaweza kuingia usiku,mchana ukapewa nafasi ya kugombea ubunge
umeongea kweli mkuu, naona utaratibu huu ni muhimu kwani hata chama cha mapazia ccm wameiga pia
 
hata chadema wenyewe hawana cv yake
Chadema unaweza kuingia usiku,mchana ukapewa nafasi ya kugombea ubunge
ccm ukiingia leo utapewa nafasi mwakani, kama ilivyokuwa kwa mtulia, mollel, kalanga na waitara. Walijiunga na ccm mwaka jana mwaka huu ndipo wamepewa nafasi ya kugombea. Hivi ccm mna cv za kibajaji, msukuma na deo sanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…