Cv People Africa Internships

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Habari wana jamvi,hawa jamaa wametangaza 3 month unpaid internship in saes and marketing,kwa yoyote mwenye uelewa juu ya hawa watu atujuze tafadhali.
 
Habari wana jamvi,hawa jamaa wametangaza 3 month unpaid internship in saes and marketing,kwa yoyote mwenye uelewa juu ya hawa watu atujuze tafadhali.


Nawafahamu kama recruitment agency kubwa Africa wenye matawi kwenye nchi nyingi za Africa na recently mwanzoni mwa mwaka huu wamefungua tawi hapa Tanzania..kuhusu terms zao zisizijui but recruitment process zao ni nzuri sana..kwa sababu wao hawa-deal na muajiriwa ktk process za recruitment bali wanadeal na muajiri..that means wanacheck CV za watu na kuchuja na kuchagua chache ambazo ni nzuri,watatuma short list kwa muajiri na kukuunganisha na muajiri so yeye (muajiri) ndiyo anakufanyia interview akimalizana na wewe na kukubaliana then yeye ndiyo atakayewalipa wao kwa kumsaidia kupata right candidates..So unaweza ukamaliza interview na kupata kazi bila hata kuwaona wala kuwajua tofauti na process za akina pes au erolink.
 
Mkuu nimekupata vizuri sana,ahsante kwa ufafanuzi yakinifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…