George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,302
Huyu ni manz au 😅😅😅Niaje wadau viwana wenzangu naomba tupeane support kwenye utafutaji wa ridhiki zetu za kila siku mimi ni kinyozi nina uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kazi yangu naishi kigamboni, Dar es salaam
Natoa huduma ya kunyoa kwa upande wa kike na kiume staili ya aina yeyote atakayopendekeza mteja na ata kutoa ushauri kutokana na kichwa chake
Natoa huduma ya kumfuata mteja popote halipo ndani ya Dar es salaam kazi itafanywa kwa maelewano.
Mawasiliano 0784440627
Ahsanteni. View attachment 1819759
Dhambi ndogo ndogo kama hizi si uziepuke tu 🤣Huyu ni manz au 😅😅😅
Nmeuliza tu ErooDhambi ndogo ndogo kama hizi si uziepuke tu 🤣
Nadhani ndiyo tunawaita Wanaume wa Dar.Huyu ni manz au 😅😅😅
Huyu ni manz au [emoji28][emoji28][emoji28]
Unapatkana wap mkuuKuninyoa kama Jux sh. ngapi??
Uyu ni manzi mkuu wale dizain ya Tom boyHuyu ni manz au [emoji28][emoji28][emoji28]
Jau FCUyu ni manzi mkuu wale dizain ya Tom boy
Yah, vp lin nije kukunyoa mkuuJau FC
Mi nanyoa kwa 1500 mzee mwenzanguYah, vp lin nije kukunyoa mkuu
Ipo saluni ya wahindi k/koo ila ni gharamaHivi kuna salon inayotoa huduma ya kunyoa nywele za sehemu nyeti?
[emoji23][emoji23] ay bhanaMi nanyoa kwa 1500 mzee mwenzangu
Huyu ni manz au [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi kuna salon inayotoa huduma ya kunyoa nywele za sehemu nyeti?
Jamaa yupo pande zote,kichwani wa kike...sura ya kiume.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi nirudi kuangalia tena
Jamaa yupo pande zote,kichwani wa kike...sura ya kiume.