Cuting point of TCU

Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
kufaulu ni akili na bahat daima huwa nawambia...cut mark hujafika ila una bahat so usishangae
 
kufaulu ni akili na bahat daima huwa nawambia...cut mark hujafika ila una bahat so usishangae
kama huyo ana bahat si shangah hao wenye div 2 wakilia lia na mkopo wasipate
 
kwaiyo kwenye wale wanafunzi 8000 ambao hawana sifa, computa ilimsahau? anabahat
 
Duuh hawajamaa udsm waliweka capacity doctor of medicine 40 mbona kapata mmoja
 
Uyo sahihi wewe,huoni hizo 4 points au we kipofu??
very sad kama una ona amekidhi vigezo wale 8000 walitoka wap mana weng ndo wastahili hii AEE,BEE,CEE,.... na walikuwa wana andikiwa kabisa not passed kwenye matokeo yao kidato cha sta labda ipite huruma 3rd round vinginevyo ni kosa la ma it wetu
 
Kama kweli komaa baba ila mkopo hutapewa na omba Ndalichako asiwashtukie, pia yawezekana vyuo ni vitupu labda wameshusha cut off point kimyakimya.
Niliwaza hvo kuwa wamepunguza au ndio maana nikaja huku kupata ushauri asante mkuu nasubili loan wakizingua naenda bumbuli diploma
 
very sad kama una ona amekidhi vigezo wale 8000 walitoka wap mana weng ndo wastahili hii AEE,BEE,CEE,.... na walikuwa wana andikiwa kabisa not passed kwenye matokeo yao kidato cha sta labda ipite huruma 3rd round vinginevyo ni kosa la ma it wetu
Kinachohitajika ni point 4 kwa masomo ma2.Refer marekebisho ya TCU,hata AFF anachaguliwa,Japo ni nadra kutokea
 
Kinachohitajika ni point 4 kwa masomo ma2.Refer marekebisho ya TCU,hata AFF anachaguliwa,Japo ni nadra kutokea
kama ni hivo vyuo vingepata watu weng karbia vyuo vyote angalau baed na bed ndo kuna wanafunzi kozi zilizo baki ni huruma kwa kwer embu angalia dit must tia wanavo sita sita kutoa post huruma kubwa cbe yan kama kikipata ata wanafunzi 500 campus ya dar ni haueni ndo madhara ya matamko.......
 
Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Ukaguzi wa vyeti vyako utafanyika wakati wa kudahili chuoni-ndio maana wanataka uende na vyeti halisi. Sali saaaaana upite hatua hiyo na wakikunasa basi umenunua kesi.
 
Ukaguzi wa vyeti vyako utafanyika wakati wa kudahili chuoni-ndio maana wanataka uende na vyeti halisi. Sali saaaaana upite hatua hiyo na wakikunasa basi umenunua kesi.
Bora asiende tu la sivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…