Cuting point of TCU

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
265
Reaction score
107
Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
 
Kapige shule mkuu maana ni ujinga huu.
 
Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Weka uthibitisho nawewe usije ukawa unabwabwaja tu.points 3 nani akuchague,labda kama ni science education
 
At the same nimechaguliwa nacte bumbili tanga diploma ya clinical officer na bachelor of science with education pale teku kupi bora zaid?
 
weka huo ushahidi wa bachela DEE
 
wakubwa habari zenu...........????? naomba msaada wa aliyeona au anajua 2nd round ya ARU,CBE UDOM MZUMBE ya MBEYA kama imetoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…