Cute policewoman

Hiri jeshi rinastahiri pongezi kwa kuwa ra kisasa, hiri ra kwetu ririkuwa rinachagua sura ngumu na nyeusi tii iri wananchi wakiriona tu wafyate mkia!
 
Mbona Jeshi la magereza lina mashine kuliko hizo?
 
Nomah!, yaani unaona kweli ni mkono wa kazi, msuri umekatika!

Wakwetu wako kikazi zaidi hakuna kuremba wala urembo kwenye kazi kama hizi ila vijidevu ndo vinamuaribia ha!ha!
 
huu ni udhalilishaji.
angekuwa ndugu yako ungemweka hapa??

so far unaweza ukamcompare huyu mama na haka kabinti?? je umeweza pata picha huyu amam alipokuwa na umri wa huyo binti alionekanaje??
Acha Jazba wewee huyu Polisi bado msichana kabisa sema mihangaiko tu ndo imemchakaza
 
behave basi.angekua mamako ungejickiaje??usitafute sifa kwa ku dhalilisha watu wengine..

wengine wangeweka picha yake puguza jazba !!kama nimekukwaza samahani sana.
 
huu ni udhalilishaji.
Angekuwa ndugu yako ungemweka hapa??

So far unaweza ukamcompare huyu mama na haka kabinti?? Je umeweza pata picha huyu amam alipokuwa na umri wa huyo binti alionekanaje??

kwa iyo hata huyo wa kenya amehdalilishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…