Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
kwanza natanguliza radhi zangu za dhati kwakua nimekua nikiwatania wengi sana humu jamvini bila kujali umri mana avatar zaficha mengi......ila nimeona leo nifunguke kua am more than serious kwa huyu binti CUTE ingawa anajua kua namtania ila sitanii ktk hili napenda afahamu ivo kua niko level nyingine kabisa juu yake...... CUTEnapenda nawe siku moja u feel the same way i feel about you babe.....
nawatakia eid njema ndugu zangu waislamu wote bila kukusahau CUTE
View attachment 62410
i hope soufungue moyo bila kuona mbele ya macho yako hope atasikia ombi lako aliko Mungu ampe nguvu
sawa mkuu.....ngoja aje mhusikaIt will either success 97% , So far !
Unsuccessfuly 0.0.5% thought so!
am here babesawa mkuu.....ngoja aje mhusika
Ah, mi ilikua ni utani tu, tena Uncle wangu Kaizer hakupokea maharioooooh noooo..... Mwali take heart......itabidi uache uaminifu wako wa kuwa na mmoja......nini sasa hii......
Hongera Ivuga,hope mutoto cute atasikia kilio chako na kukupokea,kila la heri mkuu!
Cute upokee moyo wa mshkaji, kama huna nafasi uweke hata kwenye unyayo wako tu.
and here we go.....am here babe