heloTRA wametoa barua na sim pia wanapiga. Jaribu kuangalia posta maana barua zinakuja kabla ya sim kama upo apa Dar-es-Salaam. Fuatilia mapema maana kuanzia tarehe 3 inabidi uwe umeattend
TRA wanatoa barua na kupiga sim pia. Kama uko apa Dar jaribu kufatilia kwanza posta maana naona kama barua zimewai kabla ata ya sim. Fuatilia mapema maana mpaka taree 3 inabidi uwe umeattend