sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 571
siku moja Ndenshau alikosema kutuma laki mbili na kupiga simu huduma kwa wateja maongezi yao yalikua hivi:
Mhudumu: Halo! unaongenga na JACOB toka BOGACOM,nikusaidie nini?
Ndenshau: Halo! nimekosema kutuma Pesa
Mhudumu: Umetuma shilingi ngapi na imeenda kwa nani?
Ndenshau: Nimetuma 200,000 imenda kwa Richard MSukule.
Mhudumu: Mi nilikwambia Naitwa nani?
Ndenshau: uliniambia unaitwa Jacob.
Mhudumu: mpigie Richard uliemtumia ela.