Moorio JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 407 Reaction score 587 Aug 13, 2013 #1 TTCL wameita nafasi za customer care tayari interview itafanyika pale st. joseph alhamisi hii, kama uliomba na hujapigiwa simu jua kuwa haujapita kwa interview. All the best kwa walioitwa interview.
TTCL wameita nafasi za customer care tayari interview itafanyika pale st. joseph alhamisi hii, kama uliomba na hujapigiwa simu jua kuwa haujapita kwa interview. All the best kwa walioitwa interview.
S star40 Member Joined Jun 28, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Aug 13, 2013 #2 Asante kwa taarifa luc God blec u,safari hi hawajatoa majina ya intervw kwenye gazet?
Moorio JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 407 Reaction score 587 Aug 13, 2013 Thread starter #3 star40 said: asante kwa taarifa luc God blec u,safari hi hawajatoa majina ya intervw kwenye gazet? Click to expand... Sina uhakika kuhusu gazeti, ila uhakika ni kuwa wamepiga simu kwa waliopita kwa mchujo, na alhamisi ndo interview
star40 said: asante kwa taarifa luc God blec u,safari hi hawajatoa majina ya intervw kwenye gazet? Click to expand... Sina uhakika kuhusu gazeti, ila uhakika ni kuwa wamepiga simu kwa waliopita kwa mchujo, na alhamisi ndo interview
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,638 Aug 4, 2020 #5 Seen