Pole kwa yaliyokukuta naomba kujua ni mtandao gani ulipiga simu tarehe na muda tukio lako na kama huyo mtu alijitambulisha najua kuna baadhi ya wafanyakazi haswa wale wa usiku wanakuwa chakali kisha wanaenda makazini fika mfano breakpoint utakuta watu wako pale wanakunywa maofisi wameacha wazi na ndio hao usiku wa manane wanapokea simu zako