Pretty-baby Member Joined Jan 25, 2012 Posts 56 Reaction score 7 Feb 15, 2012 #1 Habarini nilikuwa naomba mnijuze kama custom walishaitwa ,post za dec mwishon!
C ckateta New Member Joined Jan 9, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Feb 15, 2012 #2 hiyo post wengi tuliiomba ila naona jamaa bado wako kimya tu.......
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 15, 2012 #3 Pretty-baby said: Habarini nilikuwa naomba mnijuze kama custom walishaitwa ,post za dec mwishon! Click to expand... Hukuweka anwani yako? Kama uliweka subiri utajuzwa tu bado tunachambua majina wenye sifa
Pretty-baby said: Habarini nilikuwa naomba mnijuze kama custom walishaitwa ,post za dec mwishon! Click to expand... Hukuweka anwani yako? Kama uliweka subiri utajuzwa tu bado tunachambua majina wenye sifa
Pretty-baby Member Joined Jan 25, 2012 Posts 56 Reaction score 7 Feb 15, 2012 Thread starter #4 Fidel80 said: Hukuweka anwani yako? Kama uliweka subiri utajuzwa tu bado tunachambua majina wenye sifa Click to expand... Thax fidel80 kwa infor!
Fidel80 said: Hukuweka anwani yako? Kama uliweka subiri utajuzwa tu bado tunachambua majina wenye sifa Click to expand... Thax fidel80 kwa infor!
marida Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 168 Reaction score 20 Feb 15, 2012 #5 Hawajaita bado..
K KIYENZEL Member Joined Jul 15, 2010 Posts 9 Reaction score 0 Feb 16, 2012 #6 Watu walishaanza kazi ndugu yangu!!!Kutokana na ukata hata trainning CCp hawajapelekwa wamepelelkwa moja kwa moja kwenye vituo vyao vya kazi
Watu walishaanza kazi ndugu yangu!!!Kutokana na ukata hata trainning CCp hawajapelekwa wamepelelkwa moja kwa moja kwenye vituo vyao vya kazi
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,958 Feb 16, 2012 #7 Tutawawataarifu muda mchache ujao.
Pretty-baby Member Joined Jan 25, 2012 Posts 56 Reaction score 7 Feb 17, 2012 Thread starter #8 jamani mwenye data za ukweli atuambie sio za kubabaisha!
King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Feb 17, 2012 #9 Pretty-baby said: jamani mwenye data za ukweli atuambie sio za kubabaisha! Click to expand... ondoa shaka pretty baby, shortlists ndo tunanziandaa tutaanza kuwaita kuanzia mwezi wa tatu.
Pretty-baby said: jamani mwenye data za ukweli atuambie sio za kubabaisha! Click to expand... ondoa shaka pretty baby, shortlists ndo tunanziandaa tutaanza kuwaita kuanzia mwezi wa tatu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Feb 17, 2012 #10 Kobe kainama.
Mpiga Nyoka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 283 Reaction score 122 Feb 17, 2012 #11 King2 said: ondoa shaka pretty baby, shortlists ndo tunanziandaa tutaanza kuwaita kuanzia mwezi wa tatu. Click to expand... Mkuu upo serious? Vipi mnategemea kuita watu wangapi?
King2 said: ondoa shaka pretty baby, shortlists ndo tunanziandaa tutaanza kuwaita kuanzia mwezi wa tatu. Click to expand... Mkuu upo serious? Vipi mnategemea kuita watu wangapi?
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Feb 19, 2012 #12 Nina Imani Nitaitwa!
A ABUMAN Member Joined Dec 8, 2010 Posts 52 Reaction score 7 Feb 21, 2012 #13 naona wakuu ajira mara hii ni mashaka matupu,kiasi kwamba hatuamniani,kwa mfano Muhimbili kuna jamaa anasifa kabisa hakuitwa,nashindwa kupata majibu ni vigezo gani wanavitumia hawa Wahaeshimiwa kuita watu kwenye Interview,napita tu
naona wakuu ajira mara hii ni mashaka matupu,kiasi kwamba hatuamniani,kwa mfano Muhimbili kuna jamaa anasifa kabisa hakuitwa,nashindwa kupata majibu ni vigezo gani wanavitumia hawa Wahaeshimiwa kuita watu kwenye Interview,napita tu
Tungaraza Jr Senior Member Joined Feb 3, 2012 Posts 196 Reaction score 49 Feb 29, 2012 #14 Hii kitu bado bana ila kama una GPA ya 3.7 and above subiri simu japo mko 2000 coz wenye Upper ni zaidi ya 4500
Hii kitu bado bana ila kama una GPA ya 3.7 and above subiri simu japo mko 2000 coz wenye Upper ni zaidi ya 4500
C Chan Senior Member Joined Jan 3, 2011 Posts 116 Reaction score 20 Feb 29, 2012 #15 Tungaraza Jr said: Hii kitu bado bana ila kama una GPA ya 3.7 and above subiri simu japo mko 2000 coz wenye Upper ni zaidi ya 4500 Click to expand... Acha kuzingua watu wewe! GPA 3.7 kwani wameomba kufundisha university? Kaongeze post zako kwenye chit-chat.
Tungaraza Jr said: Hii kitu bado bana ila kama una GPA ya 3.7 and above subiri simu japo mko 2000 coz wenye Upper ni zaidi ya 4500 Click to expand... Acha kuzingua watu wewe! GPA 3.7 kwani wameomba kufundisha university? Kaongeze post zako kwenye chit-chat.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Feb 29, 2012 #16 Chan said: Acha kuzingua watu wewe! GPA 3.7 kwani wameomba kufundisha university? Kaongeze post zako kwenye chit-chat. Click to expand... khaaaa hasira za nini?
Chan said: Acha kuzingua watu wewe! GPA 3.7 kwani wameomba kufundisha university? Kaongeze post zako kwenye chit-chat. Click to expand... khaaaa hasira za nini?
C Chan Senior Member Joined Jan 3, 2011 Posts 116 Reaction score 20 Feb 29, 2012 #17 tindikalikali said: khaaaa hasira za nini? Click to expand... Hasira za kukosa ajira mzee alafu huyo jamaa analeta utani na round figures zake.
tindikalikali said: khaaaa hasira za nini? Click to expand... Hasira za kukosa ajira mzee alafu huyo jamaa analeta utani na round figures zake.