Mara nyingi ni adapter,moto unaoingia unakua na kasoro,chakufanya, disconnect adapter yako kweny kichwa chake kile kisha ichomeke vizur kusiwe na loose connection,kisha jarbu ku connect kwenye PC yako,kama tatizo litaendelea basi badilisha adapter weka mpya..
Pia kujiridhisha angalia mouse inasumbua wakat pc iko connected kweny power au bila hata kua connected kweny power.
Kama tatizo litakua bado fuata hatua za mdau Hapo juu