Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
Hv humu chit chat ndio kunahusu nini wenyeji???
Mi huwa nikiingia JF nashuka kule chn kweNye majukwaa yale mawili chini kabsa...nikipanda nafikia MMU na tawi lake naingia intelijensia nagusa kwngine kwngine ila huku Mmmmh sijawahi gusa maana hata sipaelewi.....
Hebu nikaribisheni kwanza mgeni then nipewe muongozo na somo wa humu...
Kunani huku
Sasa kuelekezwa sio kusaidiwa? Upo curious na kitu gani? Tafuta manzi akuweke sawa humu.
Utapata msaada hv karibuni
Huku ndo kisima cha hekima. Hata wenza Sometimes waweza bahatika huku. By the way chunga mzigo wako tu.
Hivi kwani ana mzigo? Najiuliza tu kwani umesema auchunge.
Hakuna mkaguzi. Ninajipanga kufanya ukaguzi mwenyewe. Ngoja niombe kibali kwa mkuu wetu Arushaone.
Ruksaaa bibieee!!!!!!!!!!!! Shirikiana na mke wangu Lady doctor mumkague huyo.