Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,083
Mkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. KichekeshoWakati wa kampeni siku mgombea urasi wa CCM alipozuru Mtwara kuna vijana walihama Chadema wakahamia CCM na mmoja wao aliongea live,,,ajabu lile jimbo likaenda upinzani na umati wote ule pale Ntwara mjini.Julai 23 tumeshuhudia wanasiasa wengi wakirudi CCM kutoka upinzani, na ikumbukwe hata Kingunge and Co walikuwa CCM wakaenda upinzani.So suala la watu kuhama vyama hapa Tanzania sio issue kwa sasa wala big news mdau labda kwako hasa kwa msimu huu ambao hauna uchaguzi wala nini.Msimu wa kusaka pesa ya kula tu
Wameuona ukwel gani?[/QUOTE].........Vijana hao wamesema kuwa wakati wanajiunga na CUF walishawishiwa kipindi ambacho kulikuwa na vuguvugu la gesi. Kwa sasa ukweli wameuona na wameamua kuachana na vyama vya kitapeli na kilaghai.
Nikusaidie tu kuwa mimi sina chama,napenda kuyaangalia mambo kwa uhuru zaidi,ndo maana nimebalance kwa kumtaja mzee Kingunge and Co.Ila kwakua una ASHKI MAJINUNI umejikuta unajibu tu pasina tafakuri.Mi siwez kushtuliwa na habar za kuama vyama kwa kua si habar tena kwa sasa.Habar za kuama vyama zilianza kabla wewe hujajua siasa enzi za kina mrema kwenda NCCR akina Oska Kambona na UMD,sijui kama unakijua hiko chamaMkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. Kichekesho
Unategemea isemwe ni big news? Atakayesema hivyo atakuwa na mtindio wa ubongo, unamkumbuka,Al sahaf(sina uhakika wa jina linavyoandikwa) wakati Iraq inapokea kipigo?Mkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. Kichekesho
Gauni la bibi harusi huvaliwa mara moja tu. Ukawa ni sawa na gauni la bibi harusi, baada ya harusi bibi harusi anavaa kanga moja kumfurahisha mumewe.Ngoja niulize kwanza.. hivi UKAWA bado ipo?maana Mbatia kapotea gafla
Hahahaha saccos ya matapeli wa ufipa inapukutika
Uwe unashirikisha kichwa unaposoma taarifa au habari yoyote ile. Sio unakurupuka usingizini unauliza majibu jukwaaniWapi chanzo cha taarifa yako?