Meya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani(CUF) ajiunga na CCM kuunga mkono Juhudi za Rais Magufuli

Mar 22, 2019
46
55
Na Bakari Chijumba, Mtwara.

Meya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambaye pia ni Diwani wa kata ya Tandika,Geoffrey Isack Mwachisye ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Mapinduzi(CCM) akitokea Chama cha wananchi (CUf).

Mwanchisye ametangaza uamuzi huo hii Leo 27 March 2019 kwenye ofisi za Chama cha mapinduzi Wilaya ya Mtwara,mbele ya Katibu wa CCM Mkoa El-Haj Kusilawi na viongozi wengine wa chama cha mapinduzi wilaya.

"Kimsingi nimeamua kuungana na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna ambaye ametutishia wala kutupa fedha" amesema Mwanchisye na kuongeza kuwa;

"Mimi kama Meya nilikua napambana kutekeleza majukumu lakini Combination ya timu niliyotoka haikua nzuri, tumeona kuna kila haja ya kurudi kwa kocha mahiri ambaye ni Rais Magufuli, nitakuwa muaminifu wa chama na kwa nchi yangu"

Aidha Meya Mwanchisye ameambatana na diwani wa Kata ya Chikongola (CUF), Musa Namtema (Fasheni) ambaye naye amejiunga na CCM huku akitoa sababu ya kwamba anaamini CCM ni chama ambacho kitawawezesha kuwatumikia wananchi vizuri kwa kutekeleza ilani ya chama kilicho madarakani.

Kabla ya kutimkia CCM Meya Mwanchisye amewahi kutajwa kutofautiana na viongozi waandamizi wa Chama chake cha awali (CUF), ngazi ya wilaya baada ya kusimamia upitishwaji wa sheria ndogo ya ongezeko la Kodi ya mabanda ya biashara kulikopelekea wafanyabiashara mjini Mtwara kugoma.
IMG_20190327_102258.jpeg
20190327_111019.jpeg
IMG_20190327_104149.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Bakari Chijumba, Mtwara.

Meya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambaye pia ni Diwani wa kata ya Tandika,Geoffrey Isack Mwachisye ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Mapinduzi(CCM) akitokea Chama cha wananchi (CUf).

Mwanchisye ametangaza uamuzi huo hii Leo 27 March 2019 kwenye ofisi za Chama cha mapinduzi Wilaya ya Mtwara,mbele ya Katibu wa CCM Mkoa El-Haj Kusilawi na viongozi wengine wa chama cha mapinduzi wilaya.

"Kimsingi nimeamua kuungana na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna ambaye ametutishia wala kutupa fedha" amesema Mwanchisye na kuongeza kuwa;

"Mimi kama Meya nilikua napambana kutekeleza majukumu lakini Combination ya timu niliyotoka haikua nzuri, tumeona kuna kila haja ya kurudi kwa kocha mahiri ambaye ni Rais Magufuli, nitakuwa muaminifu wa chama na kwa nchi yangu"

Aidha Meya Mwanchisye ameambatana na diwani wa Kata ya Chikongola (CUF), Musa Namtema (Fasheni) ambaye naye amejiunga na CCM huku akitoa sababu ya kwamba anaamini CCM ni chama ambacho kitawawezesha kuwatumikia wananchi vizuri kwa kutekeleza ilani ya chama kilicho madarakani.

Kabla ya kutimkia CCM Meya Mwanchisye amewahi kutajwa kutofautiana na viongozi waandamizi wa Chama chake cha awali (CUF), ngazi ya wilaya baada ya kusimamia upitishwaji wa sheria ndogo ya ongezeko la Kodi ya mabanda ya biashara kulikopelekea wafanyabiashara mjini Mtwara kugoma.View attachment 1055169View attachment 1055170View attachment 1055171

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanatapeliwa kisiasa mwisho wao Ni mwaka 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1553688501778.png

Meya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambaye pia ni Diwani wa kata ya Tandika,Geoffrey Isack Mwachisye ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Mapinduzi(CCM) akitokea Chama cha wananchi (CUF).

Mwanchisye ametangaza uamuzi huo hii Leo 27 March 2019 kwenye ofisi za Chama cha mapinduzi Wilaya ya Mtwara,mbele ya Katibu wa CCM Mkoa El-Haj Kusilawi na viongozi wengine wa chama cha mapinduzi wilaya.

"Kimsingi nimeamua kuungana na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna ambaye ametutishia wala kutupa fedha" amesema Mwanchisye na kuongeza kuwa;

"Mimi kama Meya nilikua napambana kutekeleza majukumu lakini Combination ya timu niliyotoka haikua nzuri, tumeona kuna kila haja ya kurudi kwa kocha mahiri ambaye ni Rais Magufuli, nitakuwa muaminifu wa chama na kwa nchi yangu"

Aidha Meya Mwanchisye ameambatana na diwani wa Kata ya Chikongola (CUF), Musa Namtema (Fasheni) ambaye naye amejiunga na CCM huku akitoa sababu ya kwamba anaamini CCM ni chama ambacho kitawawezesha kuwatumikia wananchi vizuri kwa kutekeleza ilani ya chama kilicho madarakani.

Kabla ya kutimkia CCM Meya Mwanchisye amewahi kutajwa kutofautiana na viongozi waandamizi wa Chama chake cha awali (CUF), ngazi ya wilaya, baada ya kusimamia upitishwaji wa sheria ndogo ya ongezeko la Kodi ya mabanda ya biashara kulikopelekea wafanyabiashara mjini Mtwara kugoma.
 
Alikuwa CUF Lipumba I guess maanake wengine wanahamia Mbeya City au Takbir haipandi kajiongeza
 
Hiyo sio habari, wimbo uleule, ubeti wa pili na kiitikio kilekile; KUUNGA MKONO JUHUDI! so what, mapambanao yataendelea mpaka mabadiliko kamili ya kijamii, kiuchumi, yapatikane!
 
Needless to read. Kumbe ndio maana Makandarasi na Wazabuni hawawezi kulipwa.
This regime is really a liability.
 
Back
Top Bottom