CUF wamshauri JK aunde serikali ya mseto

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,697
Reaction score
9,051
Wakuu habari zenu,

Nipo naangalia taarifa ya habari ya channel ten chama cha cuf kupitia mwenyekiti wake prof Ibrahim lipumba wamemshauri rais JK aunde serikali ya umoja wa kitaifa ili kuwe na uwiano utakaoleta katiba nzuri pamoja na tume huru ya uchaguzi

 
Anaota ndoto za mchana huyu. Hakuna kitu kama hicho. Serikali ya ccm iko imara kutupatia katiba tuitakayo
 
Anaota ndoto za mchana huyu. Hakuna kitu kama hicho. Serikali ya ccm iko imara kutupatia katiba tuitakayo
 
The Winner takes all..!! yeye asubiri tena kugombea 2015 aendelea kuweka historia ya best losser. A Worthless Prof., in the world.
 
cuf zanzibar ni kunguru ndani ya maji bawa moja kunguru hawezi kuruka kunguru aliebaki ni lipumba tunaona cuf ina inavyoyoyoma siasa za jino kwa jino finish .hii strategy kwa bara bado sio rahisi utamchukua nani umwache nani
 
Comrade idawa...umeniwahi kupost hii comment...wenye akili tunajua wanachokitafuta....washindweeeeee.....

Tena walegee kama mlenda! Serikali ya mseto maana yake nini? Inaundwa kwa sababu zipi? Tusubiri katiba mpya, tusubiri 2015 tusonge mbele tu. Hatutaki mseto na washindwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…