Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
Prof karuhusu akili yake kubwa itawaliwe na akili ndogo. Anaongea sawa na mtoto wa darasa la sita.Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?
kwanza nimesikia mwenyekiti wa cuf prof lipumba ametofautiana kimtazamo & kimsimamo na katibu wake maalim sefu kwenye rasimu ya katiba kuhusu muungano wa mkataba. Lipumba kaupinga muungano wa hivyo akisema ni hatari, wakati sefu anautaka huo huo. Kwakuwa bw. Mtatiro umo humu hebu njoo utueleze msimamo wa chama kwenye hili ni upi.
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?
mtatiro unafanya nini huko cuf??si ungehamia ccm ijulikane moja.maalim sasa anakula bata.
ukiwa mliberal unategemea nini! !
Kwanza nimesikia Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ametofautiana kimtazamo & kimsimamo na Katibu wake maalim Sefu kwenye Rasimu ya Katiba kuhusu Muungano wa Mkataba. Lipumba kaupinga muungano wa hivyo akisema ni hatari, wakati Sefu anautaka huo huo. Kwakuwa Bw. Mtatiro umo humu hebu njoo utueleze msimamo wa chama kwenye hili ni upi.
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?
Hapana hatujahujumiwa ila swaumu kali si unajua tena Mwezi mtukufu huu.