CUF: Tunahofia Mauaji Zanzibar

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
CHAMA cha Wananchi (CUF) kinahofia mauaji visiwani Zanzibar endapo kitatoa kauli ya kuwataka wanachama na wananchi kusaka haki yao kutoka mikononi mwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happyness Lidwino.

Nassor Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar akizungumza na mtandao huu leo amesema, CUF ina hofu ya Mungu na kwamba, wanajua endapo watakapowafungua minyororo wananchi wao, Zanzibar haitakalika.

Amesema, chama hakioni hoja ya kusababisha mauaji kutokana na dhuluma inayofanywa na Dk. Ali Mohammed Shein, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na viongozi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Dunia ukiiendea mbio mwisho wake ni kuangamia, tunajua dhulma huwa haidumu. Inahitajika sana subra ili kuokoa maisha ya wengi. Tunajua kwamba dhulma imetendeka lakini hakuna shaka hakutakuwa na mwananchi atakayeuawa kwa sababu yetu,” amesema na kuongeza;

‘’Sisi tumetulia, hatuna shaka tunatizama tu watakachoamua kufanya sisi tutakaa kimya kwani hatuko tayari wananchi wetu wamwage damu.”

Mazrui amesema kuwa, kwa sasa wananchi wengi wanaweza kutojua kwanini CUF imekaa kimya na kwamba “kukaa kimya pia si ujinga, muda ukifika wananchi wataelewa kwa nini tuliamua kujitoa kwenye uchaguzi na kukaa kimya.’’

Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara ameuambia mtandao huu kuwa, wananchi watulie kwakuwa chama chao hakitayumba.

Amesisitiza kwamba, CCM sio mbabe isipokuwa busara na muono wa mbali wa CUF ndio mafanikio ya uchaguzi unaofanyika leo na kwamba, chama chao hakirudi nyuma katika harakati zake mwaka 2020.

“Hakuna marefu yasiyo na nchi,” amesema Sakaya na kuongeza “ wakati wa CCM kuachia nchi unafika, hili halipingiki. Tunajua wananchi hawatuelewi lakini watatuelewa.”

Kuhusu uendeshwaji wa chama Sakaya amesema, “kwa asilimia kubwa chama kinaendeshwa na wananchi wenyewe na ruzuku inayopatikana ni ndogo sana kwa hiyo chama kitaendelea kuwa imara hata kama ruzuku itapungua.”

Kuhusu hatua zitakazochukuliwa na chama baada ya kumalizika kwa uchaguzi Sakaya amesema, hivi sasa chama kipo kimya kikisubiriwa ‘rais wao haramu’ atangazwe kisha kitajua ni hatua gani za kuchukuliwa kwa kuwa hadi sasa pia kuna baadhi ya viongozi wao wapo kizuizini.

‘’Serikali na CCM hadi sasa bado hawaamini kama wanaendesha uchaguzi wao wa mabavu salama kwa kuwa, wanachokifanya sio kizuri hakiwapendezi wananchi ndio maana walikuwa wanajihami kwa kuleta vifaa vya vita hata kuwakamata viongozi wetu wakihofia wanaweza kuvuruga uchaguzi,” amesema Sakaya.
 
Naibu katibu mkuu wa CUF bara SAKAYA hajui hata katiba ya CUF wala ya muungano.Yeye ni nani kuongelea mambo ya Zanzibar? Na ndio maana walimpa unaibu katibu mkuu bara.Uchaguzi wa Zanzibar hauwahusu watanzania bara.Kumwita Raisi wa Zanzibar Raisi haramu ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ambayo ina naibu katibu mkuu wake wa CUF wa Zanzibar.

SAKAYA hakutakiwa kupora madaraka ya naibu katibu mkuu wa CUF zanzibar na kuyaongelea ya Zanzibar.

SAKAYA asiwachokoze wazanzibari.Wao hawajawahi tamka kuwa magufuli ni raisi haramu wala kutukana kiongozi yeyote wa bara aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Wazanzibari wakimbadilikia Sakaya mimi simo kayataka mwenyewe kuingilia mambo ambayo hata Magufuli hayaiingilii kwa kuwa anajua ni kuvunja katiba.
 
Mungu wa Ibrahim wape busara wazanzibar waendelee kuwa watulivu ili kuepusha damu ya wasiyo na hatia
 
Naibu katibu mkuu wa CUF bara SAKAYA hajui hata katiba ya CUF wala ya muungano.Yeye ni nani kuongelea mambo ya Zanzibar? Na ndio maana walimpa unaibu katibu mkuu bara.Uchaguzi wa Zanzibar hauwahusu watanzania bara.Kumwita Raisi wa Zanzibar Raisi haramu ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ambayo ina naibu katinu mkuu wake wa CUF wa Zanzibar.

SAKAYA hakutakiwa kupora madaraka ya naibu katinu mkuu wa CUF zanzibar na kuyaongelea ya Zanzibar.

SAKAYA asiwachokoze wazanzibari.Wao hawajawahi tamka kuwa magufuli ni raisi haramu wala kutukana kiongozi yeyote wa bara aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Wazanzibari wakimbadilikia Sakaya mimi simo kayataka mwenyewe kuingilia mambo ambayo hata Magufuli hayaiingilii kwa kuwa anajua ni kuvunja katiba.
Kweli haiwausu lakini magari ya polisi na mambo mengine ruksa Zanzibar
 
Magari ya polisi ruksa zanzibar sababu ni jeshi la muungano ambalo limekubaliwa ndani ya katiba kuwa liweko pande zote za muungano.Polisi ni jambo la muungano pamoja na JWTZ lakini uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano.POLISI NA JWTZ RUKSA KUJAZANA Zanzibar popote wapendapo katiba imeruhusu hilo la uchaguzi WA zANZIBAR KATIBA HAIJARUHUSU SI JAMBO LA MUUNGANO ndio maana hata raisi wa muungano hawezi liingilia.
 
Nani aliwai kwa Jecha terehe 25 kumpa maelekezo?
 
Jaji mkuu Zanzibar hadi kalalamika.Kasema kama kuna mtu aliona Jecha kakosea au kuna tatizo la kisheria alitakiwa kwenda mahakamani.Lakini hakujawahi funguliwa shauri lolote na CUF.

CUF ni waendesha siasa za maigizo za kitoto tena kitoto sana.Yote wanayosema mitaani yawe ya Jecha au nani.Hayana ushahidi ni uzushi ndio maana hawakwenda mahakamani.
 
Kwani nani aliwashahuri CUF kususia , wasubiri mwaka 2020 kelele zote za nini
 
Wazanzibari wamesema HAPANA KWA VURUGU, hizo zitakuwa za wao CUF wamekodisha makomandoo toka nje.
 
Kwani nani aliwashahuri CUF kususia , wasubiri mwaka 2020 kelele zote za nini

Kweli mkuu waache kelele.Mtu kama unajidai Zanzibar nzima wanakupenda wewe.Si uende kura za marudio? Hata zikirudiwa mara mia wewe utakuwa ndio mshindi maana wazanzibari wote wa kwako!

Wamesusa watulie.CCM ILISUSA UCHAGUZI WA MEYA ILALA UKAWA kwa kauli moja wakasema CCM wasuse wasisuse watajijua uchaguzi utafanyika.Na ukafanyika kweli na meya wa UKAWA akachukua.

Na Zanzibar ujumbe ni huo huo CUF wasuse uchaguzi huo unaenelea!!! Ya Ilala hayo yako Zanzibar
 
Kama umeamua kususa basi susa kweli sio kujambisha tena, hiyo serikali haramu Seif ni sehemu na bado anavuta mpunga hata matibabu wanamlipia. Ukiamua kukataa kata vyote lakini wanakataa na wanapata manufaa nayo.
Niliwambia watu, Seif hataonekana Zanzibar mpaka baada ya uchaguzi. Amewasaliti wenzie, wamesubiri sana maelekezo yake lakini kwa kuwa anajua nini alichokifanya baada ya kulambishwa m350 na bado anatumbua Serena hotel kwa kisingizio cha mapumziko ya matibabu. Yeye na Jussa hamtawasikia watakuja na nyimbo mpya kukuzingueni baada ya uchaguzi.
 
Naibu katibu mkuu wa CUF bara SAKAYA hajui hata katiba ya CUF wala ya muungano.Yeye ni nani kuongelea mambo ya Zanzibar? Na ndio maana walimpa unaibu katibu mkuu bara.Uchaguzi wa Zanzibar hauwahusu watanzania bara.Kumwita Raisi wa Zanzibar Raisi haramu ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ambayo ina naibu katibu mkuu wake wa CUF wa Zanzibar.

SAKAYA hakutakiwa kupora madaraka ya naibu katinu mkuu wa CUF zanzibar na kuyaongelea ya Zanzibar.

SAKAYA asiwachokoze wazanzibari.Wao hawajawahi tamka kuwa magufuli ni raisi haramu wala kutukana kiongozi yeyote wa bara aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Wazanzibari wakimbadilikia Sakaya mimi simo kayataka mwenyewe kuingilia mambo ambayo hata Magufuli hayaiingilii kwa kuwa anajua ni kuvunja katiba.
Tunahitaji kupimwa akili
 
Niliwambia watu, Seif hataonekana Zanzibar mpaka baada ya uchaguzi. Amewasaliti wenzie, wamesubiri sana maelekezo yake lakini kwa kuwa anajua nini alichokifanya baada ya kulambishwa m350 na bado anatumbua Serena hotel kwa kisingizio cha mapumziko ya matibabu. Yeye na Jussa hamtawasikia watakuja na nyimbo mpya kukuzingueni baada ya uchaguzi.
Haya kuhusu kachukuwe buku 7 lumumba
 
CHAMA cha Wananchi (CUF) kinahofia mauaji visiwani Zanzibar endapo kitatoa kauli ya kuwataka wanachama na wananchi kusaka haki yao kutoka mikononi mwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happyness Lidwino.

Nassor Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar akizungumza na mtandao huu leo amesema, CUF ina hofu ya Mungu na kwamba, wanajua endapo watakapowafungua minyororo wananchi wao, Zanzibar haitakalika.

Amesema, chama hakioni hoja ya kusababisha mauaji kutokana na dhuluma inayofanywa na Dk. Ali Mohammed Shein, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na viongozi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Dunia ukiiendea mbio mwisho wake ni kuangamia, tunajua dhulma huwa haidumu. Inahitajika sana subra ili kuokoa maisha ya wengi. Tunajua kwamba dhulma imetendeka lakini hakuna shaka hakutakuwa na mwananchi atakayeuawa kwa sababu yetu,” amesema na kuongeza;

‘’Sisi tumetulia, hatuna shaka tunatizama tu watakachoamua kufanya sisi tutakaa kimya kwani hatuko tayari wananchi wetu wamwage damu.”

Mazrui amesema kuwa, kwa sasa wananchi wengi wanaweza kutojua kwanini CUF imekaa kimya na kwamba “kukaa kimya pia si ujinga, muda ukifika wananchi wataelewa kwa nini tuliamua kujitoa kwenye uchaguzi na kukaa kimya.’’

Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara ameuambia mtandao huu kuwa, wananchi watulie kwakuwa chama chao hakitayumba.

Amesisitiza kwamba, CCM sio mbabe isipokuwa busara na muono wa mbali wa CUF ndio mafanikio ya uchaguzi unaofanyika leo na kwamba, chama chao hakirudi nyuma katika harakati zake mwaka 2020.

“Hakuna marefu yasiyo na nchi,” amesema Sakaya na kuongeza “ wakati wa CCM kuachia nchi unafika, hili halipingiki. Tunajua wananchi hawatuelewi lakini watatuelewa.”

Kuhusu uendeshwaji wa chama Sakaya amesema, “kwa asilimia kubwa chama kinaendeshwa na wananchi wenyewe na ruzuku inayopatikana ni ndogo sana kwa hiyo chama kitaendelea kuwa imara hata kama ruzuku itapungua.”

Kuhusu hatua zitakazochukuliwa na chama baada ya kumalizika kwa uchaguzi Sakaya amesema, hivi sasa chama kipo kimya kikisubiriwa ‘rais wao haramu’ atangazwe kisha kitajua ni hatua gani za kuchukuliwa kwa kuwa hadi sasa pia kuna baadhi ya viongozi wao wapo kizuizini.

‘’Serikali na CCM hadi sasa bado hawaamini kama wanaendesha uchaguzi wao wa mabavu salama kwa kuwa, wanachokifanya sio kizuri hakiwapendezi wananchi ndio maana walikuwa wanajihami kwa kuleta vifaa vya vita hata kuwakamata viongozi wetu wakihofia wanaweza kuvuruga uchaguzi,” amesema Sakaya.
Kama amezungumza haya anapaswa kukamatwa huu ni uchochezi pia....
 
NO NO NO..
wasifanye hivyo please !
CCM kumwaga damu hawaogopi kama walivyofanya january 27 2001 na wamesafirisha askari kutoka bara kwa ajili hiyo..
ni ngumu kuwazuia CCM kutawala kwa kelele za barabarani..
BUT
THERE IS A WAY..
 
Naibu katibu mkuu wa CUF bara SAKAYA hajui hata katiba ya CUF wala ya muungano.Yeye ni nani kuongelea mambo ya Zanzibar? Na ndio maana walimpa unaibu katibu mkuu bara.Uchaguzi wa Zanzibar hauwahusu watanzania bara.Kumwita Raisi wa Zanzibar Raisi haramu ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya zanzibar ambayo ina naibu katibu mkuu wake wa CUF wa Zanzibar.

SAKAYA hakutakiwa kupora madaraka ya naibu katibu mkuu wa CUF zanzibar na kuyaongelea ya Zanzibar.

SAKAYA asiwachokoze wazanzibari.Wao hawajawahi tamka kuwa magufuli ni raisi haramu wala kutukana kiongozi yeyote wa bara aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Wazanzibari wakimbadilikia Sakaya mimi simo kayataka mwenyewe kuingilia mambo ambayo hata Magufuli hayaiingilii kwa kuwa anajua ni kuvunja katiba.

ssa mkuu unaejua katiba ya kafu tukuamini vipi sijaona kifungu cha katiba ulicho nukuu ili tukuamini baada ya reference, naona unapoza donda kwa kutoa ya moyoni

sema inauma sana ujue
 
Back
Top Bottom