Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Bado nahangaika sana kujua njia sahihi ya maisha ni ipi?,Najiuliza na kujihangaisha kupata majibu kupitia matendo ya watu wengine ambao inasadikika walikuwa ni watu wavumilivu, imara na shupavu ambao kila walipopata nafasi waliitumia vizuri ili kuwadhihirishia wabaya wao kuwa wao ni bora kuliko wao.
Nelson mandera alifungwa jera alipotoka hakususa kuendelea kupigania watu wake vipi ninyi Cuf msuse?
Wapiga kura ni wale wale, nchi ni ile ile, mahasimu wenu mliowashinda ni wale wale KIPI kinafanya msirudie?
Kufanya hivyo ni kuharalisha damu za raia wasio na hatia zimwagike na damu zikimwagika zinakuwa zijamwagwa na CCM tu bali nyote kwasababu hamkuutambua wakati unaofaa.
Rudini kwenye uchaguzi.