katiba ya tanganyika itaamuliwa na either watanganyika kama wanataka au watanzania(sina uhakika kama wapo)tofauti na hivyo itakuwa batili kama itaamuliwa na madiwani(isomeke kwa idadi ya wanaowachagua)Mswada mpya unasema ili katiba mpya ipite lazima pande mbili za muungano zipitishe kwa theluthi mbili kwa maana ya bunge maalum la katiba na referandum.
Ina maana kuwa CUF ndio watakuwa waamuzi maana wasipounga mkono upande wa znz haitapita. kwa mfano CUF wanaweza kusema bila serikali tatu hawatapitisha katiba. Ukipeleka serikali mbili znz huwezi kupata theluthi mbili, nafikiri imeeleweka na ndio ulikuwa msingi wa hoja ya Tundu Lissu jana!
Mi kama mwananchi kutoka upande wa zanzibar hoja yangu katika suala la muungano,nitapendekeza tanzania kuvua kovi la muungano,na badala yake itambulike kama Repulic of tanzania badala ua unite republic of tanzania,baadae ndio tujadili muungano.katiba ya tanganyika itaamuliwa na either watanganyika kama wanataka au watanzania(sina uhakika kama wapo)tofauti na hivyo itakuwa batili kama itaamuliwa na madiwani(isomeke kwa idadi ya wanaowachagua)
cuf na ccm hawatakuwa na jipya zaidi ya yaleyale(miafaka isiyo na tija kwa tanganyika)
kifupi kama akili zako ndio hizo za kuozesha chekechea hakuna muungano likja suala la katiba.
Suala la uwiyano hapo mjomba uwino unaochukuliwa kana wa kinchi,sio uwiyano wa watu,zanzibar ilipounda na tanganyika ilikuwa ni nchi huru kabisa sovereign state,na tanganyika ilikuwa hivyo hivyo.Inashangaza na kutia hasira suala la Katiba kutaka kupitishwa kwa style kama hiyo. Watanganyika tupo mil. 43, wakati zanzibar wapo mil. 1. Sasa hapo uwiano uko wapi? La msingi referendum iletwe kwa wananchi tuijadili bila kuangalia uwiano wa idadi ya wajumbe maalum kutoka pande mbili za muungano. Wazanzibar wengi ukiwauliza kuhusu muundo wa katiba unaotakiwa hata hawauelewi. Mawazo yao yote wanafikiria mafuta. Wanataka wajitenge na Tanganyika ili wajichimbie mafuta. Unapozungumzia CUF unazungumzia CCM-B.
Suala la uwiyano hapo mjomba uwino unaochukuliwa kana wa kinchi,sio uwiyano wa watu,zanzibar ilipounda na tanganyika ilikuwa ni nchi huru kabisa sovereign state,na tanganyika ilikuwa hivyo hivyo.
Kwa maana hiyo,kila upande una haki ya kutoa maoni kwa usawa. Zanzibar ni nchi tanganyika ni nchi,hata huko katika umoja wa mataifa,Usa INAWAKILISHWA na mtu mmoja tu,china mtu 1 tu,na wingi wa population zao,iceland,ireland,na visiwa vyengine vidogo vidogo vinawakiliswa na mtu mmoja ndani ya umoja huo,haijalishi wingi wa watu wako ni kama taifa tu.
Na katika suala hili,zanzibar ina haki kutoa maone kimpango wake,na kwa uhuru,ikiwa wanataka muungano gani,au hawataki hilo ni maamuzi ya wazanzibari wenyewe bila ya kungiliwa.
Mswada mpya unasema ili katiba mpya ipite lazima pande mbili za muungano zipitishe kwa theluthi mbili kwa maana ya bunge maalum la katiba na referandum.
Ina maana kuwa CUF ndio watakuwa waamuzi maana wasipounga mkono upande wa znz haitapita. kwa mfano CUF wanaweza kusema bila serikali tatu hawatapitisha katiba. Ukipeleka serikali mbili znz huwezi kupata theluthi mbili, nafikiri imeeleweka na ndio ulikuwa msingi wa hoja ya Tundu Lissu jana!
Tanganyika, Tanganyika,nakupenda kwa moyo wote,
nchi yangu Tanganyika,jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuota wewee,niamkapo ni heri mama wee....
@mtama mchungu
ndio maana nyie watanganyika munatakiwa muache unafiki, munatakiwa mudai tanganyika yenu na katiba ya tanganyika huru. Halafu ndio tuje tujadili kwa pamoja katiba ya muungano.
Lkn nyie munajifanya wajanja hali yakuwa kumbe ni wajinga sana, munataka eti katiba ya muungano iwe ndio katiba ya tanganyika kama ilivyo sasa.
Kwa hilo wazanzibari hatutakubali na tuko tayari kutoa roho zete ktk kutetea uhuru wa nchi yetu na utamaduni wetu na kama hamuamini subirini mutaona endeleeni kuleta utani.
Nakuuliza mambo yepi ya bara ambayo zanzibar wanaamua,kumbuka kuwa mambo ya bara yalikuwa chini ya serilai ya Tanganyika,sasa tanzania inasimamia masuala ya muungano,sasa jiulize mambo gani ambayo ya bara huamuliwa na zanzibar ?Shida ni kwamba hata yale mambo ambayo ni non-union, yanayohusu bara pekee na nyie mtayaamua. Ni haki kweli ZNZ kushiriki kwenye kila kitu hata ambacho hakiwahusu? Mbona BARA hatukuja kwenye kura ya maoni ya katiba yenu?