Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,621 8,411 Jun 17, 2016 #1 CUF wamesema mkutano mkuu wa chama Taifa ambao utafanya uchaguzi wa mwenyekiti utafanyika August 21 2016
CUF wamesema mkutano mkuu wa chama Taifa ambao utafanya uchaguzi wa mwenyekiti utafanyika August 21 2016
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,771 4,649 Jun 17, 2016 #2 Vipi mpango wa wale makanjanja waliolipwa kuandamana kwaajili ya Lipumba upo pale pale?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,051 Jun 17, 2016 #3 Lipumba arudi Chuo kikuu akafundishe vijana wetu
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,196 6,367 Jun 17, 2016 #4 Huyu Prof Lipumba achukue form au atulie aache kutumiwa na ccm.