Jamani ndugu zetu wa Tanganyika ama wengine hupenda kujiiita WABARA, sijui Bara gani wanokusudia, Africa, Ulaya ama Bara Asia..... watu nyie hamutaki kuelewa kwamba Upepo wa kisiasa wa Zanzibar tofauti kabisa na huko kwenu, hivi unaposema CUF ijitoe kwenye GNU eti kwa kisingizio cha kwamba CUF imeshindwa utetezi wa Zanzibar sio kweliiii.....
Dunia imeshuhudia nyuma tulikotoka na mapambano ya CUF labda hawa vijana wadogo wa CDM hawajazaliwa cku zile ndio maaana kwao wao hujiona wao tu ndio wapambanaji.....