CUF Lipumba, Meya Jacob waingia katika vita ya maneno

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
2cd72e0dfcfde1a968ee449a7cff6074.jpg
 
Ukifikia level ya kua profesa kama akili zako zinabaki kua timamu ni jambo la kumshukuru Mungu.

Maprofesa wengi ukiwalinganisha na mtoto wa form four katika uelewa wa kawaida utagundua watoto wa form four ni nafuu zaidi.

Bisha uwezavyo ila nakusihi jikite kuangalia matendo ya maprofesa wetu utagundua hilo
 
Mm nilimsikia yule jamaa wa cuf akimlalamikia naibu meya. Hivi Jacob ndiyo naibu meya ...? Kuuliza siyo ujinga .
 
Kati ya watu ambao ni bad PR kwa CDM, huyu meya anaongoza, anapenda attention kwa vitu vya kijinga, Dar ina kila aina ya uozo, asafishe huo uozo, 2020 si mbali.
 
Kati ya watu ambao ni bad PR kwa CDM, huyu meya anaongoza, anapenda attention kwa vitu vya kijinga, Dar ina kila aina ya uozo, asafishe huo uozo, 2020 si mbali.
CCM Itabaki kushinda mwituni vijiji vya kichakani na wapenda ujinga na walionyimwa elimu ili wawe rahisi kutawalika. 2020 Itakuwa ni Kiama na Jahanamu kwa CCM Mijini kote. CCM itendelea kushinda misituni na vichakani na maeneo yanayokaliwa na watu wenye vichwa Zero.
 
Back
Top Bottom