Ni baada ya Lipumba kujiunga kinyemela na chadema,chama ambacho kinawaponda sana waislamu wengi na kiliwaita cuf mashoga wa ccm mikutano yake imedorora sana hapa anahutubia leo na huu ndio umati
Walijitahid wasiungane lakin sasa wameungana..ssm kwa hil wamefeli ..yale ya nyuma yamepita sasa tuna angalia ukawa na c ..chadema wala cuf wala nccr..tumefuta malumbano yote cc ni ndugu.