MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
Mbaazi ikikosa maua.... Na mtazidi kuangukia pua daimaTatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru na daftari la kupiga kura.
Ni dhahiri kwa matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani chama cha CUF kinaendelea kujifuta kwenye siasa za Tanzania bara. kwenye kata kilicho shiriki kimepata kura chache sana.
CCM haina habari tena na CUF, cuf nayo maskini ya Mungu imejichokea zake na iko taabani. mchuano umebaki kati ya chadema na ccm. na mchuano huu wa chadema na ccm nao upo kwa kuwa ccm inabebwa sana na dola na hakuna level playing field.
kama uchaguzi unafanyika bila kuingiliwa na dola hakika leo hii wenza wa cuf nao wangekuwa kama cuf. cuf manakufa ccm wanachekelea.
ni rahisi kwa upinzani kushinda ubunge au urais kuliko uenyekiti wa vijiji au udiwani na sababu ni nyingi lakini ni vigumu zaidi kwao kushinda kwenye uchaguzi mdogo kuliko wakati mwingine wowote..kwangu mimi naona chadema wana mwelekeo mzuri sana24 - 03 ndio kuimarika?
Mbaazi ikikosa maua.... Na mtazidi kuangukia pua daima
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru na daftari la kupiga kura.[/Q Umemaliza ukweli ndo huo hakuna wa kutetea upinzani hata wafadhili wako wa upande wa mafisadi.Kwa kweli tumebakia na Mungu tu ndie mwamuzi wa haki kwenya nchi hii.Cha msingi hapa ni kuomba tu Mungu afanye miujiza yake.
Haya matokeo ya kubebwa na polisi pamoja na NEC, mbeleni mtaumbuka, tunawasubili kwa hamu.
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru na daftari la kupiga kura.
wana jamvi cdm wamepambana na kupata kata 3 muhimu sana kuliko zengine,lakini cha kushangaa cuf wazee wa ngangari na ngunguli hawaonekani bado wapo analongy
We Kilaza kweli yaani ugaragazwe na CCM kibao umgeuzie CUF!!! tena hakuna kata muhimu kuliko nyingine zote ni muhimu kwa chama makini na chenye kujali maslahi ya wananchi! ubaguzi mnaoonyesha Chadema hata ktk kata ipi ni muhimu na ipi si muhimu itazidi kuwagharimu!
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru na daftari la kupiga kura.
24 - 03 ndio kuimarika?