ipo sababu nyingine tofauti na "udini" iliyo
sababisha cuf isi simamishe mgombea arumeru mashariki?
Kama ni ukata mbona cuf imeweza kusimamisha mtu katika
kiti cha udiwani tanga na wakashinda?
Kuna haja ya kuwa na vyama vinavyo wagawa watanzania kwa
misingi ya dini zao?
Huku sio kupandisha chuki?
"kwamba kwa kuwa wameru wengi dini flani,na sisi mizizi yetu
ni dini flani basi hatuwezi kuwa wakilisha?"
kama dini ndio ilikuwa sababu ya kuto simamisha mgombea arumeru,basi
cuf ifutwe,kama sio,waseme kwanini.
Vijibweni Udiwani wamesimamisha mgombea na Maalim Seif akaja kuhitimisha Kampeni(TEMEKE)!! na wamekuwa wa pili na CDM ya tatu kulikoni Arumeru!? (KKKT NA RC wengi!?) huko Miraji, Ally, Mohammed na Abdallah hawawezi pigiwa kura? Acheni hizo Someni alama za nyakati TZ haina UDINI na UKABILA hizo itikadi zenu zitawaponza ndo maana mnameguka. Mulianza na JAMES MAPALALA (Muasisi) na wabara wengine wakristo UDINI ukapita mkawang'oa. Ni bahati yake jamaa anaitwa "HAROUN' Lipumba" siku wakijua kuwa nio AICT mzuri tena mzee wa kanisa, Mkutano utafanyika Usiku kama si Unguja basi Pemba na agenda itakuwa moja tu! "Kuwaondoa Makhafili!" NANI ANAUKIMBUKA MKUTANO WA NCCR WA TANGA WA KUMUADABISHA MREMA? Nini kilitokea!? Taa zilizimwa na kilichofuata ni balaa! Lakini walisahau kuwa Mrema ni KAMANDA/KOMANDO MKUU WA TAIFA WA SUNGUSUNGU hivyo anajua kukwepa hata Mishale, hawakumpata Meza kuu ndani ya giza totoro! Lakini ndo ilikuwa mwanzo wa kuondoka NCCR-MAGEUZI.

Ipo sababu nyingine tofauti na "UDINI" iliyo
sababisha CUF isi simamishe mgombea Arumeru Mashariki?
Kama ni ukata mbona CUF imeweza kusimamisha mtu katika
kiti cha udiwani Tanga na wakashinda?
Kuna haja ya kuwa na vyama vinavyo wagawa Watanzania kwa
misingi ya dini zao?
Huku sio kupandisha chuki?
"Kwamba kwa kuwa wameru wengi dini flani,na sisi mizizi yetu
ni dini flani basi hatuwezi kuwa wakilisha?"
Kama dini ndio ilikuwa sababu ya kuto simamisha mgombea Arumeru,basi
CUF ifutwe,kama sio,waseme kwanini.
Acha uongo wewe... CUF wamekuwa watatu (3) pamoja na seif wao Tukawaonyesha mziki wa CDM ukoje, Nasema hivi CUF siyo wapinzani wa siasa katika taifa hili, Mimi kama kiongozi nilichukua jukumu la kuongea na viongozi wa CUF kuhusu vijibweni kuwa hawawezi waiunge CHADEMA mkono jibu nililopewa nikaamini CUF ni ccm b 100%Vijibweni Udiwani wamesimamisha mgombea na Maalim Seif akaja kuhitimisha Kampeni(TEMEKE)!! na wamekuwa wa pili na CDM ya tatu kulikoni Arumeru!? (KKKT NA RC wengi!?) huko Miraji, Ally, Mohammed na Abdallah hawawezi pigiwa kura? Acheni hizo Someni alama za nyakati TZ haina UDINI na UKABILA hizo itikadi zenu zitawaponza ndo maana mnameguka. Mulianza na JAMES MAPALALA (Muasisi) na wabara wengine wakristo UDINI ukapita mkawang'oa. Ni bahati yake jamaa anaitwa "HAROUN' Lipumba" siku wakijua kuwa nio AICT mzuri tena mzee wa kanisa, Mkutano utafanyika Usiku kama si Unguja basi Pemba na agenda itakuwa moja tu! "Kuwaondoa Makhafili!" NANI ANAUKIMBUKA MKUTANO WA NCCR WA TANGA WA KUMUADABISHA MREMA? Nini kilitokea!? Taa zilizimwa na kilichofuata ni balaa! Lakini walisahau kuwa Mrema ni KAMANDA/KOMANDO MKUU WA TAIFA WA SUNGUSUNGU hivyo anajua kukwepa hata Mishale, hawakumpata Meza kuu ndani ya giza totoro! Lakini ndo ilikuwa mwanzo wa kuondoka NCCR-MAGEUZI.